Clear CJJ Fresh Drink
(Fresh Drink Changjingjing)(Solid Beverage)
Viungo:
Powder, Albumin Peptide, Herba Taraxaci, Herba Cirsii, Radix Et Rhizoma Glycyrrhizae, Fructus Lycii, Flos Chrysanthemi, Inulin, Xylooligosaccharide
Kazi Na Faida Zake
- Huuweka utumbo mpana kuwa wa unyevunyevu na kusaidia kutembea kwa chakula;
- Huwajenga viumbe waishio katika utumbo mpana (kujenga uwiano kati ya bakteria wenye manufaa na bakteria wabaya ;
- Hupunguza uzalishwaji wa sumu na kusaidia utolewaji wa sumu;
- Hujenga ukuta wa kwanza wa kinga katika matumbo.
- Hupunguza kasi ya ufyonzwaji wa wanga na mafuta katika matumbo.
Yafaa Kwa:
- Watu waliofunga choo (constipation);
- Watu wasio na uwiano mzuri wa bakteria tumboni;
- Watu wenye magonjwa ya koloni na rektamu;
- Watu wenye uwingi wa sumu.
Maelezo Muhimu:
Inasaidia kutoa sumu katika koloni (utumbo mpana) na hutengeneza mazingira rafiki katika utumbo mpana ya kuwa na uwiano mzuri wa viumbe waishio humo (balanced intestinal flora.)
<<<<< MWANZO